Am not a clande...NO!
Vipi kaka shikamoo
mbona hunielewi
acha nikuelezee
wenye magari nishawaona

wenye nyumba za kifahari pia
hayo mapeni nina zaidi
huu mchezo wataka kuanza
tayari nishahitimu phd
sasa sijui itakuaje
nani mwalimu nani mwanafunzi
can i get your number
please boy your number
can i get your number
cos am not a clande...NO
am not a clande....NO
am just a beautiful girl
who is in love with you

nitizame kwa mara ya pili
moyo ushapenda
si kama nahitaji mapeni yako
ajuaye haya ni Mungu
nimeona zaidi ya hapa
ndiyo maana nakupenda
mbona usinipe nafasi
nikuonyeshe haya mambo
waugua lakini hutokubali
moyo wako ushavunjwa
na wale wasokupenda
naja kwako moyo mkunjufu
mapenzi nimebeba kwenye moyo
machozi yanitoka
mbona usiniskize

can i get your number
please boy your number
can i get your number
cos am not a clande NO
not a clande....NO
am just a beautiful girl
whos in love with you
mbona hunielewi
acha nikuelezee
wenye magari nishawaona

wenye nyumba za kifahari pia
hayo mapeni nina zaidi
huu mchezo wataka kuanza
tayari nishahitimu phd
sasa sijui itakuaje
nani mwalimu nani mwanafunzi
can i get your number
please boy your number
can i get your number
cos am not a clande...NO
am not a clande....NO
am just a beautiful girl
who is in love with you

nitizame kwa mara ya pili
moyo ushapenda
si kama nahitaji mapeni yako
ajuaye haya ni Mungu
nimeona zaidi ya hapa
ndiyo maana nakupenda
mbona usinipe nafasi
nikuonyeshe haya mambo
moyo wako ushavunjwa
na wale wasokupenda
naja kwako moyo mkunjufu
mapenzi nimebeba kwenye moyo
machozi yanitoka
mbona usiniskize

can i get your number
please boy your number
can i get your number
cos am not a clande NO
not a clande....NO
am just a beautiful girl
whos in love with you

No comments:
Post a Comment